SABABU ZA VIJANA
KUTUMIA DAWA ZA KULEVYA
KUTUMIA DAWA ZA KULEVYA
Hivi karibuni kumekuwa na wimbi kubwa la vijana wadogo
kujiingiza katika utumiaji na uzaji wa
madawa ya kulevya pasipokujua madhara ya matumizi ya madawa ya kulevya.Hii
imepelekea Taifa kupoteza nguvu kazi kubwa sana kwa sababu vijana ndo Taifa la
leo.Badala ya vijana kujikita katika shughuli za maendeleo na kukuza uchumi wao
wameamua kujiingiza katikautumiaji na uzaji wa madawa ya kulevya.Zipo sababu
ambazo zimewafanya vijana wengi kujiingiza katika wimbi hili la utumiaji wa
madawa ya kulevya.Sababu mojawapo ni kupoteza au kupunguza mawazo.Vijana wengi
wamekuwa wakijidanganya kuwa pindi watakapo tumia dawa za kulevya kama vile
bangi,cocaine watapunguza msongo wa mawazo waliyonayo ila ukweli utabaki
palepale kwamba binadamu yeyeto aliyekamilika ni lazima awe na mawazo usipokuwa
na mawazo inawezekana kabisa hujakamilika.Hivyo kumia kwako dawa hakuta
kupunguzia mawazo kabisa.Pia wengi wanatumia ili waweze kufanya kazi bila
kuchoka au kuwaongezea nguvu mwilini pindi wanapokuwa kwenye kazi ngumu lakini
mwisho wa siku wanaishia kuwa vichaa na kupata matatizo ya kiafya.Wapo pia
ambao wanatumia kwa ajili ya starehe zao,wanahisi wakitumia madawa ya kulevya
kunaa mihemko fulani ndani ya miili yao wanaisikia.Vilevile wapo wanotumia
kutokana na kushawishiwa na wenzao watumie ili waweze kupata mafanikio kama waliyonayo wenzao.Lakini
ukweli ni kwamba wa kutumia madawa ya kulevya hakuna mafanikio yeyote ambayo
utayapata zaidi sana ni kwamba hata yale mafanikio uliyonayo yanaweza yakapotea
kutokana na kutumia muda na pesa nyingi kwenye madawa ya kulevya.Vijana wengine
wanahisi wakitumia madawa ya kulevya kunaufahari fulani wanaupata,wanahisi kuwa
madawa hayana madhara katika miili yao ila madawa ya kulevya huwa yanamadhara
makubwa sana kiasi kwamba yanaweza ata kukusitishia maisha yako (kifo) .Nini
kifanyike ili kuwaepusha vijana katika janga hili la kutumia madawa
ya kulevya.Kwanza kabisa elimu itolewe kwa vijana ili waweze kutambua
madhaya yatokayo na matumizi ya dawa za kulevya.Serikali na wadau wa sekta binafsi
watoe elimu kwa vijana maana vijana ndo kundi kubwa linaloangamia na janga
hili.Vijana wapatiwe elimu ya ujasiria mali ili waweze kujikita katika
uzalishaji zaidi kuliko kutumia madawa ya kulevya.Pia vijana wapatiwe mikopo
nafuu na serikali pamoja na taasisi binafsi ili waweze kufungua miradi ya
kuwaweka bize wasipate mda wa kutumia madawa ya kulevya.Hii itasaidia sana
maana kumekuwa na wimbi kubwa sana la vijana wasio na ajira mwisho wa siku
wanaamua kutumia madawa ya kulevya angalau kupunguza msongo wa mawazo wa
kutokuwa na ajira.Vilevile serikali ianzishe
taasisi za kudili na vijana ili kuhakikisha vijana wanawajibika ipasavyo
na si kutumia madawa ya kulevya kama ilivo sasa.Pia vijana wengi wapelekwe JKT
kujifunza nidhamu kwasababu wengi wanaotumia madawa hata nidhamu hawana
kwasababu mwenye nidhamu na anayejua ananafanya nini kwa wakati gani hawezi kutumia
madawa ya kulevya.Pi a vijana wapewe
fursa mbalimbali ambazo zitawawezesha kujikwamua kimaisha.Kama haya
yatazingatiwa kwa umakini vijana wanaweza kuepuka kabisa kutumia dawa za
kulevya.

Imeandikwa na Julius I. Sanare.
0757- 012317
No comments:
Post a Comment